HISTORY
DIRA NJEMA Foundation was founded in 2013 as an orphanage caters, widows, a child living in difficult conditions as well as those living with HIV.
DIRANJEMA FOUNDATION received full registration from the government in 2016.
this NGO since its inception has helped more than 400 orphans, widows, at least 200, and living with HIV 100.
until now this organization has been able to registration of orphans, and those living in vulnerable 150, 100 widows with living with HIV 50.
the purpose of serving the organization has targeted more than the occasion when it can get more sponsors to fund this organization.
OUR MISSION is to help orphans get an education as well as helping widows and those living with HIV studying entrepreneurship training in order to survive.
HISTORIA FUPI.
DIRA NJEMA foundation ilianzishwa mwaka 2013 ikiwa inahudumia watoto yatima, yajane, wototo wanaoishi katika mazingira magumu pamoja na wale wanaoishi na virusi vya ukimwi. DIRA NJEMA ilipata usajiri wa kudumu kutoka serikalini mwaka 2016.
Tangu kuanzishwa kwake NGO hii imewasaidia watoto yatima zaidi ya 400, wajane wasiopungua 200, na wanaoishi na virusi vya ukimwi 100.
mpaka sasa shirika hili limeweza kusajiri watoto yatima pamoja na wale wanaoishi kwenye mazingira magumu 150, wajane 100, pamoja na wanaoishi na virusi vya ukimwi 50.
shirika lina dhumuni la kuhudumia walengwa zaidi ya hao pindi itakapo weza kupata wafadhili zaidi wa kufadhili shirika hili.

Comments